Ben Pol na Jux walivyowapandisha jukwaani mashabiki na kuimba nao ‘Nakuchana' Mp3 Download    Ben Pol na Jux walivyowapandisha jukwaani mashabiki na kuimba nao ‘Nakuchana'
    Usiku wa March 3 2017 burudani ya muziki wa live ilihamia makoa makuu Dodoma ambapo mastaa watatu Ben Pol, Jux na Barakah Da Prince walifanya show bila kutumia CD na japa nimekusogezea dakika za Ben Pol na Jux walivyowapandisha jukwaani mashabiki wao na kuimba nao 'Nakuchana'

    Related Videos