Unyanyapaa wa virusi vya ukimwi Mp3 Download    Unyanyapaa wa virusi vya ukimwi
    Kaunti ya wajir, watu 1,251 wanaishi na Virusi vya ukimwi wakati watu 30 wanapata maambukizi mapya ya Virusi vya ukimwi katika kila mwaka. Ilhali Watu 72 walifariki kwa shida zinazohusiana na Virusi vya ukimwi mnamo mwaka wa 2019. Wafadhili na wasamaria wema ,wanahimizwa kujitokeza kwa hali na mali kuwasaidia watoto hao kupata maisha mazuri kama watoto wengine katika jamii. 0724329357 Chief Ukash @ALPHA TV News #Trending #Ukimwi #HIV/AIDS

    Related Videos