MASKINI MAIMARTHA JESSE! Ameamua Kupima UKIMWI! Kasemwa Sana, Majibu Je? Mp3 Download    MASKINI MAIMARTHA JESSE! Ameamua Kupima UKIMWI! Kasemwa Sana, Majibu Je?
    SUBSCRIBE https://www.ytapi.com/u/uwazi1 Aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio moja hapa nchini na MC mashuhuri hapa mjini maimartha jesse baada ya watu kumshutumu kila kukicha kuwa amehathirika alikuwa kimya na sasa kaja na majibu ya afya yake kwa ujumla kuwa yupo poa na wala hajahathirika wala nini. ameenda kupima afya yake na kujulikana kuwa yu mzima na ajaambukizwa virusi vya ukimwi kama watu walivyokuwa wakimuhisi kuwa amehasilikia. Na kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha zinazoonye majibu ya vipimo vyake na akaandika ujumbe ambao unawahusu watu waliyokuwa akimshutumu kuwa ni muhathirika wa ugonjwa wa ukimwi. Nayanukuu maneno yake β€œHELLOW nawaomba wale timu matusi wanamwambia kila mtu ana ukimwi pale kunapotokea kupishana, tuheshimiane jamani mjini shule,hayo ni majibu yangu ya kwamba sina ukimwi naomba nitagieni wale waliyokuwa wananitukana nina ngoma sasa tusherekee. Akamalizia kwa kusema kuwa bado malaria na urine sasa pima vvu. Hata miaka ya nyuma walishawai kumuongelea mbunge wa...

    Related Videos