KEMSA imekanusha madai ya kuwepo kwa uhaba wa dawa za kudhibiti makali ya UKIMWI nchini Mp3 Download    KEMSA imekanusha madai ya kuwepo kwa uhaba wa dawa za kudhibiti makali ya UKIMWI nchini
    Halmashauri ya usambazaji dawa na vifaa vya matibabu humu nchini, KEMSA imekanusha madai ya kuwepo kwa uhaba wa dawa za kudhibiti makali ya UKIMWI humu nchini. Halmashauri hiyo inasema zipo dawa za kutosha kukidhi mahitaji ya watu milioni 1.4 walio na UKIMWI humu nchini. Halmashauri hiyo sasa inaelekeza kidole cha lawama taasisi kwenye kaunti kutowasilisha maombi ya dawa hizo kuambatana na mahitaji yao. Tangu juma lililopita, halmashauri hiyo imepeleka dawa za kudhibiti makali ya UKIMWI kwa kaunti 31 huku zile zilizosalia zikitarajiwa kuzipokea Jumatatu ijayo. Na jinsi anavyotuarifu Nancy Okware hali halisi nyanjani ni tofauti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive

    Related Videos