Taarifa Kuhusu Maambukizi Mapya ya UKIMWI Nchini Mp3 Download    Taarifa Kuhusu Maambukizi Mapya ya UKIMWI Nchini
    SUBSCRIBE NOW GLOBAL TV http://www.youtube.com/c/uwazi1 TUME ya kudhibiti ukimwi nchini (TACAIDS) imesema kiwango cha maambukizi ya virusi vya ukimwi kinaendelea kupungua kutoka aslimia 0.32 kwa kipindi cha mwaka 2012 na kitafikia hadi 0.16 ifikapo mwaka 2018. Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS , Jumanne Issango, amesema maambukizi ya virusi yanaendelea kupungua japokuwa kuna tofauti katika mikoa, wilaya na makundi maalum. Naye Kaimu Mkurugenzi Idara ya mwitikio wa kitaifa, Audrey Njelekela, ameitaja mikoa inayoongoza kuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi kuwa ni pamoja na Njombe na Iringa ambapo mikoa iliyo chini kwa maambukizi ni Manyara ,Tanga na Lindi. subscribe kwenye chanel yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM:...

    Related Videos