TBC1: Jinsi Ugonjwa wa UKIMWI Ulivyoanza, na Hali Ilivyo Sasa! Mp3 Download    TBC1: Jinsi Ugonjwa wa UKIMWI Ulivyoanza, na Hali Ilivyo Sasa!
    Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Ni takribani miongo mitatu imepita tangu ilipotangazwa rasmi kwamba UKIMWI Umebisha hodi, umeingia na hatimaye kupiga kambi katika nchi ya Tanzania. Baada ya UKIMWI Kuingia nchini Watanzania walitaharuki, watu hawakujua wapi pa kwenda, nini cha kufanya na wala waanzie wapi. Miaka ilivyozidi kwenda mbele ndivyo taratibu dunia ikaanza kuuona UKIMWI Kama ni janga la kawaida, ama ni sawa na maradhi mengine, ingawa katika uhalisia wake Ukimwi bado upo palepale na makali yake. Endelea kuangalia Tafaruki hii kutoka TBC1, Ikielezea kwakina zaidi kuhusu Ugonjwa wa UKIMWI. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER:https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:...

    Related Videos