MWISHO WA YOTE: Watanzania kuanza kupima UKIMWI kwa mate? Mp3 Download    MWISHO WA YOTE: Watanzania kuanza kupima UKIMWI kwa mate?
    Kauli hii imetolewa na Dr. Faustine Ndugulile ambae ni Naibu Waziri wa Afya leo May 4 2018 Dar es salaam wakati Serikali ilipokutana na Naibu Balozi wa Marekani TZ ambapo Serikali hiyo imeahidi kutoa Trilioni 1.17 kwa Tanzania kusaidia kupambana na UKIMWI.

    Related Videos